Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA STEND #KIMARA_MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni
#Chumba master kikubwa
#Sebule kubwa
Inajitegemea umeme maji yapo ndani yanatoka chooni
KODI YA PANGO
_________________
kwa mwezi ni laki moja nasitini tuu/=
(160,000)
X6
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI