Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA SANA, SEBULE KUBWA SANA, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*ZIKO 5 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 250,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*ANGALIZO*
==========
*KODI NI MIEZI SITA (6) UTAAMBATANISHA NA LAKI 2(200,000) KAMA PESA YA TAADHALI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347