Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







210.000 TSH
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INA PANGISHWA 
KIMARA STOP OVER 
DAKIKA 5 KWA MGUU AU BODA BODA 1000
KODI 210,000X6 
CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA SANA NA CHOO  JIKO KUBWA  NA ZURI
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI 
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA 
MKONO WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
BALABALA NI RAFIKI KWA GARI AINA ZOTE
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Simu
0679997610
0747997630
Msigwa




















