Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐ฐ Inapangishwa KIMARA MWISHO
๐ Kodi 200,000/= ร6
__
_______
โข Jiko
โข Sebule
โข Chumba Master
* Ya Juu ndio Inakuwa Wazi
* Inajitegemea UMEME
* Maji Ndan
#Umbali wa km 2.5 bajaji Tsh 1000 ukishuka nyumba unaiona
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 200,000/=
#Kupelekwa Kuona ni 15,000/=
โ:- 0753172516