Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000 × 6) #KIMARA_KOROGWE
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI LEO JIONI
#MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI YA MICHONGOMA PARKING KUBWA USALAMA WA KUTOSHA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300