Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA STEND KIMARA STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG ELF 15
SIFA YA NYUMBA
hii ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
kwa mwezi ni laki moja nanusu tuu (150,000 X 4)
SIMU 0659336751 WSP 0786085637