Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APATIMENTI KALI ZA KIBACHELA
ZINAPANGISHWA 
KIMARA TEMBONI 
UMBALI DK 6
KUTOKA MOROGORO ROAD 
====
SIFA  ZAKE
CHUMBA  SEBULE CHOO NDANI NA
JIKO NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
KODI. 25,000/=X3
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 250,000(=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
CONT
0683234124
0718367179



















