Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI 250000 KWA MWEZIร6
Chumba master na sebule na jiko zuri la kisasa kabisa
Ambayo inajitegemea kwa kila kitu kuanzia umeme wake na mita yake ya maji Dawasa
kwenye fensi moja zipo apartment 4 na hii moja ndio ipo wazi zipo kimara temboni upande wa kushoto njia iliyowekwa lami
Kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 usafiri ni bajaji sh 500
0674596521
0766808522