Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


*APARTMENT NZURI SANA MPYAA..*
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
💥 *KODI YAKE 170K X4//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA SABINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA*
🏘️ *APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO*
*⚡CHUMBA MASTER*
⚡ *SEBURE KUBWA SAFI*
⚡ *JIKO SAFI*
⚡ *TILES/ GIPSUM*
⚡ *SLIDE WINDOW*
⚡ *UMEME SUBMETER.*
⚡ *MITA YA MAJI SAFI DAWASA WANASHEA W2*
🏘️ *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5*
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA BODA TSH 1000/=*
❌ *NYUMBA HAIPO NDANI YA FENCE, LAKINI USALAMA WAKE NI WAKUTOSHA,,*❌
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________