Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI TSHS LAKI 350,000/=KWA MWEZI 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
________________
MALIPO YA MIEZI 6
APARTMENT NZURI
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba Vi2 vya kulala, KIMOJA SEBULE kubwa Jiko kubwa, / public Toilet
MAHALI ILIPO
Kimara temboni
Cars Space ipo kubwa
UMBALI WA KM 1.5 kwagari PIKIPIKI SH 1000
BAJAJI 700
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300