Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Korogwe
๐1.8km Kutoka Mwendokasi, Pia Unaweza Pitia Ubungo External Bajaji 500 au Dala dala, Ukishuka Unaingia Ndani
๐ก#SIFAZAKE
๐นChumba Kimoja Master Kikubwa
๐นSehemu ya Jiko
๐นUmeme Sub-Meter yake
๐นMaji yanflow ndani
๐นFensi yake Hailazi Gari
,๐Hii Inakuwa Wazi Tar 25/06/2024 Kuiona Na kulipia Ruksa .
๐ถKodi Tsh 150,000/=ร5(Miezi Mitano)
๐ถMalipo ya Dalali Tsh 150,000/=
๐ถService Charge Tsh 15,000/=
# Simu 0757 404087