Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO TATU TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/10/2025
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA MASTER WASTANI
#JIKO KUBWA SANA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI KUBWA PARKING IPO 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#KUNA WALINZI WA KAMPUNI ELFU 10 KWA MWEZI 
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI 
Kodi 250,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0679 997610 
0747997630
Msigwa




















