Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAAA MPYAAA KABISA WAHI MAPEMA 
KODI 110,000X6 
NI CHUMBA MASTER KALI SANA VIKUBWA 
KIMARA MWISHO
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2.5 
USAFILI BAJAJI 1000
DALADALA 500
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO
#0625606710๐ wahiii



















