Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT'S MPYAAA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM.1 TU KUTOKA LAMI USAFIRI UPO WA BODA BODA ELFU MOJA.
KIKUBWA CHA PUBLIC
KUBWA SANA
KIBALAZA CHAKO
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
YA FENCE
SPACE KUBWA
KODI NI 180,000/=X"6"
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU
SIMU
0713661530_0783661530


















