Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA KIBARAZA KIKUBWA
LOCATION KIMARA SUKA
KODI 150,000X6
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5
UMEME LUKU YAKO MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
NYUMBA HAIPO NDANI YA FENSI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 20,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU 0789049684