Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 300,000

APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING

BEI NI 350,000/= X 6

ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU

🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

💥 APARTMENT HII KUNA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA

Kwa maelezo zaidi piga :---

0712528820
0685221354

Wote mnakalibishwa

Mr. Riverside

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 6 KUTEMBEA SIFA YA NYUMBA NI Vyumba vitatu vya...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KoDI 250,000X3 APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI AU UNAWEZA KUPITA K...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI -...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

(170,000X6)KIMARA TEMBONI ➖➖➖➖➖➖➖➖NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA===================LOCATION: KI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X6)KIMARA SUKA DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD ——INAPANGISHWA #KIMARA_SUKA DK 15 TOKA K...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA, SEBULE KUBWA, J...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUMB...

Sh. 20,000

(500,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= × 6...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 90,000

CHUMBA MASTER KIKUBWA INA PANGISHWA KODI 90,000X6KIPO KIMARA SUKAUMBALI KM 2MAJI YANA TILILIKA NDANI...

Nyumba/Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA SANA NI 🔥🔥INAPANGISHWA 800K X 6ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NEW NEW APARTMENTS MPYA KABISA ZINAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 10/01/2026 KUONA MALIPO RUKSA#SEBULE K...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NEW NEW APARTMENTS MPYA KABISA ZINAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 10/01/2026 KUONA MALIPO RUKSA#SEBULE K...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYU...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location kimara suka km 1Kodi 500000 kwa mwezi na dalali m...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#0742260844_#0657484670.NEW NEW APARTMENTS MPYA KABISA ZINAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 10/01/2026 KUO...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#0742260844 _#0657384670.HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 10/01/202...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NEW NEW APARTMENTS MPYA KABISA ZINAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 10/01/2026 KUONA MALIPO RUKSA#SEBULE K...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 12KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF KUPELEKWA KUONA NYUM...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NEW NEW APARTMENT MPYA INAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 05/01/2026 MALIPO RUKSA DK 3 TU KUTOKA MWENDOKA...