Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


KODI 250,000X6
LOCATION:KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
YANAFLOW NDANI
NA KILA CHUMBA KINA FENI SAFI
KILA MTU TANK LAKO LA MAJI
IPO NDANI YAFENSI PAKI SPESI KUBWA SANA
UMBALI NI KM 2.5
BAJAJI 700
BODA 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 25.9.2025 KULIPIA LUKSA KABISA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637