Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Temboni
๐1km kutoka Morogoro main road,Bajaji 500 au Boda 1000 tu.
#SIFAZAKE
๐นVyumba viwili, Kimoja Master
๐นSebule
๐นJiko
๐นChoo cha familia
๐นUmeme LUKU yake, Maji yanflow ndani
๐นFence & Parking kubwa
๐Zipo 2 Hapa na hii Moja Iko wazi
๐ถKodi Tsh 300, 000/=ร6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Tsh 300, 000/=
๐ถService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐