Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


CHUMBA KIMOJA SINGLE KINAPANGISHWA 
LOCATION:
KIMARA TEMBONI 
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 10 KWA MIGUU
BARABARA  MKEKA ( RAMI )
USAFIRI WA BAJAJI 700 
UKISHUKA HUTEMBEI 
KIPO NDANI YA FENCE 
KODI 70,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA 
PIGA CM 0674860193



















