Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
BEI NI 300,000/= X 6
📌📌 ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 25/05/2024 SASA HIVI RUKSA KUZIONA NA KUFANYA MALIPO YOTE YA MIEZI 6 + NA PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 3
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168