Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


200,000 KOROGWE VYUMBA VIWILI
NYUMBA NZURI KABISA INAPANGISHWA 200K X6
LOCATION KIMARA KOLOGWE KWA MKUWA UNAWEZA PITIA BONYOKWA NJIA YA TABATA SEGEREA KUTOKA KITUONI BODA BUKU
ILIPWE LAKI MBILI MALIPO YA MIEZI SITA
SIFA ZAKE
⚡VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA
⚡TOILET PUBLIC
⚡ JIKO ZURI
❌HAKUNA MASTER FENSI ITAJENGWA
NYUMBA NI MPYA KABISA NDUGU MTEJA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YAKO DAWASCO YANAFLOW NDANI
KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 10000 TUH
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT 0679 956 863
0759151524