Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER  MPYAA KABISA KODI 100,000X4
KIPO KIMARA SUKA
UMBALI KM 2
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI 
UMEME SUB METER 
KIPO NDANI YA FENSI ILA HAILAZI GARI 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637




















