Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(400,000X6)KIMARA BUCHA DK 5-8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 400K.
VYUMBA VIWILI VYA KULALA K1 NI MASTER
SEBULE JIKO NA CHOO PUBLIC
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SHARE W2
YANAFLOW NDANI
TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA KIOO MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENS PARKING YA KUTOSHA
KUNA PERVING BLOCKS
ZIPO APARTMENT 2 KWA COMPOUND 1
LOCATION KIMARA BUCHA DK 8 TOKA BRBRN
BEI NI 400,000
NB: MPANGAJI AMESHATOKA FUNGUO ATAREJESHA TAR: 25.3.2024
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja