Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MIEZI IMEPUNGU SASA NI 250,000X4
APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA
KIMARA SUKA DK10 KWA MIGUU.
CHUMBA CHA KLALA
SEBULE KUBWA
JIKO SAFI LINA WEKWA KABATI ZA CHINI
PUBLIC TOILET INSIDE
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
MAZINGIRA TULIVU SAFI
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 250,000X4
CONTACT:: 0672673363