Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA(500K X 6)
------------------------------
📌KIMARA TEMBONI (Dsm)
Umbali:1. Km BOda 1000/= KWA MIGUU DK 12
_________________________
MUUNDO ÷
✔️ VYumba 02 _ 01 Master
✔️Sebule kubwa
✔️Jiko Kubwa lenye makabati
✔️Choo Cha Public ndani
✔️ Mazingira TULIVU Sana
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Dawasa)
✔️LUKU YAKE
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 500,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 06 kamili + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
0713661530_0783661530