Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 400,000

Yajuu 500,000

Yachini 400,000

NEW NEW APARTMENT FOR RENT##KIMARA MWISHO.
•••••••••••••••••••••••••••••••••••

NYUMBA MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.

ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO NJIA IENDAYO KIMARA BONYOKWA.

HIZI APARTMENT ZIPO ATUA YA MWISHO KUMALIZIKA RUKSA KUONA NA KULIPIA

ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI NA BEI TOFAUTI =

GHOROFA = KODI NI 500,000

ZA CHINI = KODI NI 400,000 /=

SIFA ZAKE =

VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI.

••••••••••••••••••••

NOTE =
HIZI APARTMENT ZIPO 8 KWENYE COMPAUND MOJA NA ZINA NAFASI YA KUTOSHA HAZIJABANANA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI

ZITAKUWA TAYARI KWA KUHAMIA TAREHE 01 /4 / 2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA KWA MPANGAJI AMBAYE HANA HARAKA.

KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=

MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MWEZI PINDI ULIPIAPO NYUMBA

ZIPO APARTMENT ZA BEI TOFAUTI GHOROFA LAKI 500,000 NA ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /=

••••••••••••••••••••

FINISHING YAKE = FULL PAVING BLOCK ZINAWE, MADIRISHA ALUMINUM, REZEV SIMTANK, PARKING SPACE KUBWA YA KUTOSHA.

SINA CHENI BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE NA KUKUANDIKIA NA MKATABA.

0679 956 863

0696708032

DALALI SHAMTE      KIMARA  MBEZI_KIBAMBA
dalali_goba_kimara_mbezi_
DALALI SHAMTE KIMARA MBEZI_KIBAMBA

Similar items by location

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X6)KIMARA MWISHO#MASTER BEDROOM NZUR, APARTMENT FOR RENT KIMARA MWISHO##CHUMBA MASTER KIKUBW...

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION KIMARA TEMBONI UMBALI ; KILOMETER 1 KUTOKA LAMIINA VYUMBA SITA VYA KULALA,...

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION KIMARA TEMBONI UMBALI ; KILOMETER 1 KUTOKA LAMIINA VYUMBA SITA VYA KULALA,...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6IMEBAKIA MOJA TUUU!!!🌟SIFA ZAKE NI #VYUM...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment inapangishwa KIMARA BARUTI dk 5NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALAMaster bedroomSebuleJik...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartiment house for rent nzuri kali Location kimara baruti km1 Kodi 500000 kwa mwezi na dalali mwez...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

0679 997610 MPYAA MPYAAA MPYAAAAPARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO 5NDANI YA FENSI ZINAPANGISHWA SEHEMU A...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION:KIMARA STOP OVERUMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5 SIFA ZAKE...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

( 150,000 X" 6" ) KIMARA KORONGWE MASTER BED ROOM MPYAAAA MPYAAAA MPYAAAA UMBALI WA DAKIKA.13 KUTOKA...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION TEMBONI DK 10 KUTEMBEA KWAMIGUUBEI NI 300,000/=X6MUUNDO WAKEVYUMBA 2 KI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 380,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 380,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 21/12/2025 ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🇹🇿Apartment Classic For Rent Zipo 4 Kwenye Fence Location: KIMARA BUCHA Upande Wa Kulia Kama Unaen...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🇹🇿Apartment Classic For Rent Zipo 2 Kwenye Fence Location: KIMARA BARUTI Upande Wa Kushoto Kama Un...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

*APARTMENT NZURI MPYA KABISA**ZINAPANGISHWA* *KIMARA TEMBONI*💥 *KODI YAKE 100K X 4//**ILIPWE LAKI M...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YAH IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 10/01/2026 DK 3 TU KUTOKA MWENDOK...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YAH IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 10/01/2026 DK 3 TU KUTOKA MWENDOK...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MPYA KABISA KIMARA TEMBONI KM2.5 KUTOKA LAMI -----Chumba kikubwa Seble kub...

Kiwanja kinauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

BOSS EEEEH🗣🗣🗣🗣...HII NAYO IMEINGIA KWENYE OFFA ZA MWISHO WA MWAKA....BEI IMEVUNJWA VUNJWA.... SO...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 380,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 380,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 21/12/2025 ...