Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(100,000X4) KIMARA MWISHO 1.7KM BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖
CHUMBA KINAPANGISHWA
MAHALI:KIMARA MWISHO 1.7KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
✔️CHUMBA MASTER KIKUBWÀ SANAA
KODI:(100,000X4) FIXED
HUDUMA
LUKU WAWILI
METRE YA MAJI WAWILI
MAJI YANATOKA CHOONI
➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453