Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X6 
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA 
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
___________
#VYIUMBA 2 VYA KULALA 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PABLICK TOILET NDANI 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA 
NB: INAKUWA WAZI TAREHE 27/10/2025 AU KABLA YA HAPO KUONA NA KULIPIA RUKSA
0677445508




















