Nyumba inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam


NYUMBA/PLOT INAUZWA KINONDONI MKWAJUNI DK TANO TOKA MWENDOKASI MILLION 60
UKUBWA WA ENEO SQMT 350
PANA LESENI YA MAKAZI
INA VYUMBA NANE VYENYE WAPANGAJI KODI NI ELF 70 KWA ELF 60
CHUKUA HII BOSS REKEBISHA KULA KODI YAKO KISHA BAADAE BOMOA UWEKE GOROFA KAMA JIRANI YAKO AU UMESHINDWA KABISA CHUKUA TU ENDELEA KULA KODI HADI SIKU MUNGU AKIKUJAALIA KUPATA NGUVU ZAIDI
SERVICE CHARGE 50K
CONTACT
O747196597 WHATSAPP
0718618508
0696288247