Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Mbuyuni.
- Master
- Sebule
- Jiko
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- Kisima
- Paving
- Parking
- Fence
Kodi 250,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.