Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


IMESHUKA BEI KODI NI LAKI 250,000 /=KWA MWEZI, NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA. 
-----------
MAHALI ILIPO = KINYEREZI 
NJI IENDAYO MAJUMBA SITA ( AIRPORT ) KITUO MWEMBENI " DARAJANI "UMBALI WA DK  3 KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI. 
-----------
USAFIRI WA DALADALA UPO NAULI TSH  700 UKIWA UNATOKA ,TABATA KINYEREZI, MBEZI MWISHO, KOTE UNAFIKA UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK  3
---------
SIFA ZA NYUMBA =
INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI 
CHUMBA MASTER 
SEBULE 
JIKO LENYE MAKABATI 
PUBLIC TOILET YA NJE 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI MITA INAJITEGEMEA 
TAILS 
GYPSUM 
MADIRISHA ALUMINIUM 
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA 
----
KODI NI LAKI  250,000/=
KWA MWEZI 
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-------
SINA CHENI  BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE. 
KARIBUNI TUFANYE KAZI 
CONT  0655256419
WSP -




















