Nyumba inapangishwa Kirumba, Mwanza


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA KIRUMBA - IBANDA
BLOCK 01
-vyumba viwili vya kulala ( self 1 ), sebule, jiko na public toilet
-hearter, water reserve tank, car parking space
-umeme & maji unajitegemea
-bei Mil 3.5 kwa mwaka
BLOCK 02
-chumba kimoja self contained, sebule na jiko
-hearter, water reserve tank, car parking space
-umeme & maji unajitegemea
-bei Mil 2.5 kwa mwaka
✅ nyumba ya kwanza kutoka kwenye lami
📲 0743220097