Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT KALII SANAA
JILAN NA BARABARA YA LAMI
NYUMBA YA PILI.
➖️➖️➖️➖️➖️➖️➖️
MUUNDO WAKE.
👉CHUMBA KKUBWA MASTER
Choo cha Kukaa/Maji moto
Ndan Fen na taa za rang.
👉SEBLE na Jiko lenye Makabati.
➖️➖️➖️➖️➖️➖️➖️
Huduma zake zote zinajitegemea.
✔️Umeme na Umeme.
✔️Tank la maji ya ziada.
(Maji moto ndan kotee/Fen )
✔️Uwanjan pavingblocks
✔️Electical fens wire.
Kwenye Compound kuna Nyumba 2 tuh.
Parking nzurii kubwa.
NOTEs..🔥KOD N TSH LAK 280,000/= @ mwezi malipo n miez 6.
Baada ya malipo ya awali ukiendelea waeza lipia miez mitatu mitatu.
📍Site visit elfu 10,000/=🫢hii itadum mpaka kukamilka kwa zoez.
💪malipo ya kaz kod mwezi mmoja toka kwako ww mteja wetu mpendwa.
Mawasiliano zaidi.
Call________watsApp 0718436694
Piga simu more story
Njoo twende site mpendwa mteja.