Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro






APATIMENTI  KALI SANA MPYAA KABISA. INAPANGISHWA ZIPO TATU KATIKA COMPAUND MOJA 
IPO KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1, 
PKPK 1000/=
TAR4/9/2025 ITAKUWA WAZI
===
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI2 SEBULE KUBWA CHOO NDANI CHA PABLIC NA JIKO KUBWA 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
KODI 300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347




















