Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







CHUMBA SEBULE MASTER KUBWA NA JIKO ZURI LENYEMAKABATI INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5 USAFIRI BAJAJI 500
SIFA ZAKE:
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 200,000 X 6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
ITAKUWA WAZI TAREHE 1/ 9/2025
KUONA NA KULIPIA RUKSA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347