Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


โโ
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/03/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE YA WASTANI
โผ๏ธHAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/=ร6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODABODA
๐ค APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/03/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja wateja