Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI YAKE 250K X6 
=====
APATIMENT ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO D.S.M
==========
UKISHUKA 
KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 10
BODA BODA 1000
ZIPO NYUMBA MBILI KWENYE FENSI MOJA 
======
SIFA YA NYUMBA 
INA VYUMBA VYA KULALA VIWILI HAKUNA MASTER 
======
CHOO NI PUBLIC 
JIKO LIPO KUBWA SANA 
SEBULE KUBWA SANA
=======
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA 
MAJI  YA KUSHEA WAWILI 
======
NYUMBA MPYAA WAHI NDUGU MTEJA 
======
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363



















