Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 200000K X6
APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 3
HADI KWENYE NYUMBA
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1500
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA KUBWAA
SEBULE KUBWA
CHOO NDANI SAFI
JIKO KUBWAA
KODI 200 X6
NYUMBA IPO WAZI
KUPELEKWA KUONA 20K
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
#0710614924
#0688653940