Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Zinapangishwa;
#CHUMBA_MASTA_NA_SEBULE_JIKO
Bei Yake :: 350,000 Kwa Mwezi
■Chumba Masta
■Sebule
■Jiko lenye Makabati
■Public toilet
■Umeme wako
⛳️ MBEZI MASSANA NJIA YA GOBA
Kwamawasiliano
☎️0788633081
0756455653