Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#0742260844 #0657384680
.
APATIMENTI KALI SANA
INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI
STENDI
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM 1,
BODA 1000/
====
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER KUBWA NA SEBULE KUBWA SANA NA KIBARAZA CHAKE
===
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
KODI 180,000/=X4
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 180,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PAKING IPO YA KUTOSHA
===