Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


π―οΈ MBEZI KIBANDA CHA MKAA
π Kodi 200,000 X6
_____
_____
β’ Jiko Kubwa
β’ Sebule kubwa
β’ Chumba Master kizuri
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Ndani ya Fensi
* Mazingira Mazuri
#Umbali 2.2KM kutoka Morogoro Road, usafiri bajaji au bodaboda
_______
π *MUHIMU SANA*
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 200,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
β:- 0753172516