Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


HII SI YAKUKOSA KABISA
STAND ALONE YA NGUVU
INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
INAVYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINNINGI ROOM
JIKO SAFI LA KISASA
STORE
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 400,000/=6
ILIPWE LAKI NNE KODI YA MIEZI SITA
UKILIPA TU UNAPAKIWA LANGI
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 2
USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
============
CALL 0683234124
0752978231