Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







0679 997610
APARTIMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 5 KUTEMBEA KWA MIGUU
JINSI ILIVYO
CHUMBA SEBULE JIKO , CHOO NI PABLICK
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI MAZINGIRA MAZURI SANA
====
KODI 300,000/= X 3
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
Cont
0679 997610