Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA 1 NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU YA UMEME NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAPANGISHWA
BEI NI 180,000/= X 4
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 80 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.7 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
💥KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
0712656027