Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 SIO PUNGUFU ZAIDI YA HAPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBANI KOTE
#PARKING
#GARDEN
#PAVING
#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME
BEI NI 500K X 6
ILIPWE LAKI 5 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
‼️HAKUNA PUNGUZO LA BEI WALA PUNGUZO LA MIEZI NDUGU MTEJA
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA MKOANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Call& Whatsapp
0627514605
0782324144