Nyumba inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBWENI UBUNGO
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Full air condition
Tiles
Gypsum
Heater ya maji moto maji baridi
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa
-โ--------
Service charge 20,000/=
Kodi 1,500,000/=ร6
------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1.5
-------------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach๐น๐ฟ