Nyumba inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MBWENI, MBWENI MALINDI

➡️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➡️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

➡️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➡️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➡️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➡️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

𝗕𝗘𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗘

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 602 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 2, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 2.

𝗨𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗝𝗘𝗖𝗧 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗘 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu 𝗧𝗘𝗩𝗜 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗥𝗖𝗜𝗔𝗟 𝗣𝗔𝗥𝗞(𝗶𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗡𝗕𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗞), 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗞𝗜 𝗕𝗢𝗩𝗨 - 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

KIWANJA KIPO MTAA MZURI SANAKIPO KARIBU NA BALABALALOCATED AT MBWENI UBUNGO SQM 1200BEI ML 220 MAZUN...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

PLOT FOR SALE LOCATION ▪︎▪︎ MBWENI JKT BLOCK 6 KWA MAMA SAMIA SQUARE METERS ▪︎▪︎ 872SALE ▪︎▪︎ 220 MI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

APARTMENTS FOR SALE 𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓𝖬𝖠𝖧𝖠LI~ MBWENI - MPIJI_________________...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 850,000,000

APARTMENTS FOR SALE 𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓𝖬𝖠𝖧𝖠LI~ MBWENI - MPIJI_________________...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT YA VYUMBA VIWILI𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓𝖬𝖠𝖧𝖠LI~ MBWENI __________________...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT NZURI SANA 🏡🏘️ INAPANGISHWAMAHALI: MBWENI MPIJIINA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJA MASTER SE...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

27/4/2025Nyumba inapangishwa apartment Location mbweni APCKodi 600000 kwa mwezi Miezi 3Ipo ndani ya ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

27/4/2025Nyumba inapangishwa apartment Location mbweni APCKodi 600000 kwa mwezi Miezi 3Ipo ndani ya ...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

Modern Luxury Home for Sale – Mbweni JKTLooking for a dream home that has everything you need?Sumaku...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

NYUMBA YA KITAJIRI INAUZWA – MBWENI JKT USHUANI | TSH BILIONI 1.2Fursa ya kumiliki nyumba ya kisasa ...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba inapangishwa Mbweni mpiji Inavyumba-4-vyote mastaBei ml-1-5#0689138795whatsapp #0758998074👈

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment Inapangishwa:(Zipo Mbili Tu kwenye fensi) Location :: MBWENI MOGABei yake :: 500,000Tsh k...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,800,000

STAND ALONE HOUSE FOR RENTIPO - DAR ES SALAAMENEO=MBWENI JKTBEI -ml. 1,800,000/=NYUMBA LAMISTAND ALO...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,800,000

STAND ALONEFOR RENTIPO - DAR ES SALAAM🍅🍅ENEO=MBWENI JKTBEI -ml. 1,800,000/=NYUMBA LAMSTAND ALONENY...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

APARTMENT FOR RENT FULLYFURNISHED#2BEDROOMS ALL MASTER PRICE ML1 PER MONTH MBWENIUNAWEZA KULIPIA KWA...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

🏡 NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA – VYUMBA 3 VYOTE MASTER | MBWENI JKT – DAR ES SALAAMFursa ya k...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba inapangishwa Mbweni mpiji Inavyumba-4-vyote masta Bei ml-1-50#0758998074#0689138795whatsapp

Nyumba inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba inapangishwa Mbweni mpiji Inavyumba nne vyote mastaInajitegemea ndani ya fensiBei ml-1-5#0758...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba inapangishwa Mbweni mpiji Inavyumba 3Inajitegemea ndani ya fensi Bei laki-3-50#0758998074👈 #...

Nyumba inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Mbweni JktIna Vyumba Vinnie vyote ni Master, Dining Room, Sit...