Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
IKO NDANI YA FENSI, INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO ZURI.
UMEME MITA INAJITEGEMEA NA MAJI NI DAWASA YANATOKA JIKONI NA CHOONI.
KODI: 200000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI, KITUO UWANJANI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.