Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO.
MAJI YAPO YA DAWASA MITA INAJITEGEMEA NA UMEME WANASHEA WAWILI, NYUMBA IKO KWENYE FENSI.
LOCATION: PUGU, KITUO SHULE YA MSINGI.
KODI: 120000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.