Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYAAA ZINAPANGISHWA
CHUMBA, SEBULE, JIKO NA CHOO. NYUMBA ZIKO BARABARANI KABISA, ZIKO NDANI YA FENSI, UMEME ZINAJITEGEMEA KILA MOJA.
KODI: 200000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.
CONTACT: 0614130017



















